Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 26.08.2024

Chelsea wanapania kumsajili Jadon Sancho wa Manchester United, huku Raheem Sterling akitarajiwa kuenda upande tofauti, huku Crystal Palace wakimtaka Eddie Nketiah, pamoja na wengine zaidi.
from Swahili - BBC News Swahili https://ift.tt/8R2nXsS
Post Comment
No comments